Maafisa wa usalama waliowaua vijana katika maandamano ya mwaka jana watambuliwa

  • | Citizen TV
    6,439 views

    Mashirika Ya Kutetea Haki Za Binadamu Sasa Yanataka Kukamatwa Kwa Maafisa Wa Usalama Wanaosemekana Kuhusika Na Mauaji Ya Watu Watatu Wakati Wa Maandamano Ya Vijana Katika Majengo Ya Bunge Mnamo Juni Mwaka Jana. Upekuzi Wa Shirika La Habari La Bbc Uliwatambua Maafisa Watatu Wa Usalama David Chege, Erickson Mutisya Na Eric Shieni Kwa Kuhusika Na Mauaji Hayo Wakati Wa Maandamano Ya Kupinga Mswada Wa Fedha Mwaka 2024.