Maafisa wakuu wa polisi eneo la Ang’ata Barrikoi wahamishwa kufuatia mauaji ya watu watano

  • | Citizen TV
    3,540 views

    Hali imeendelea kusalia tete katika eneo la Angata Barikoi mpakani mwa eneo la Trans mara kaunti ya Narok ambako watu watatu walipigwa risasi kwenye mvutano wa ardhi. Inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja leo akiwaongoza maafisa wa usalama kuzuru eneo hili huku sasa akiagiza kuhamishwa kwa maafisa wakuu waliokuwa wakihudumu eneo hilo. Na kama Chrispine Otieno anavyoarifu, Kanja amesema polisi aliyehusika na kuyatua risasi kuwaua watu hao watano atabeba msalaba wake