Maafisa wawili wa KRA wakamatwa JKIA kwa madai ya ufisadi

  • | KBC Video
    3,159 views

    Maafisa wawili wa halmashauri ya ukusanyaji ushuru nchini wanaofanyakazi katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta wamekamatwa kwa madai ya ufisadi na kumiliki bunduki kinyume cha sheria. Mutava Lawrence na Timothy Momanyi, walikamatwa wakiitisha hongo ya shilingi elfu 120 kutoka kwa msafiri mmoja, ambaye simu zake mbili aina ya iPhone zilikuwa zimetwaliwa .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive