Maafisa wawili wa polisi wa Kenya waripotiwa kujeruhiwa nchini Haiti wakati wa mapigano na magenge

  • | Citizen TV
    9,089 views

    Maafisa wawili wa polisi wa Kenya wameripotiwa kujeruhiwa nchini Haiti wakati wa mapigano na magenge ya wahalifu katika kipindi cha wiki moja. Maafisa hao wajeruhiwa walipokuwa wameshika doria kweny jiji kuu la nchi hiyo. Inaarifiwa kuwa wawili hao wanapokea matibabu nchini Dominican.