Maafisa wawili wa serikali ya West Pokot wanaswa na EACC

  • | KBC Video
    95 views

    Tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi imewatia mbaroni washukiwa wawili wanaohusishwa na wizi wa shilingi 296 kutoka kwa serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi. Inadaiwa pesa hizo ziliibwa kati ya kipindi cha matumizi ya fedha ya serikali cha mwaka 2017/2018 na mwaka 2021/2022. Washukiwa wengine wawili wamekwenda mafichoni huku wakiagizwa kujisalimisha kwa afisi za tume hiyo kesho asubuhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive