Skip to main content
Skip to main content

Maandalizi ya Mashujaa Dei yaendelea uwanja wa Ithookwe, Kitui

  • | KBC Video
    138 views
    Duration: 1:08
    Katibu katika wizara ya usalama wa taifa dkt. Raymond Omollo, leo amekagua uwanja wa michezo wa Ithookwe katika kaunti ya Kitui, kama sehemu ya maandalizi ya sherehe ya sikukuu ya Mashujaa itakayoandaliwa tarehe 20 mwezi Oktoba mwaka 2025. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive