Maandalizi ya Taji la dunia

  • | Citizen TV
    236 views

    Timu ya taifa ya wasio na uwezo wa kuona imeendeleza mazoezi katika uwanja wa Nyayo Nairobi kwa maandalizi ya mchuano wa dunia wa unyanyuaji uzani nchini Kazakhstan mwezi Mei.