Skip to main content
Skip to main content

Maandamano na ghasia kwa siku ya pili baada ya uchaguzi Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    64,420 views
    Duration: 28:16
    Mtu mmoja anahofiwa kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia mapambano makali kati ya waandamanaji na polisi katika mpaka kati ya Kenya na Tanzania mjini Namanga. Makabiliano hayo yalianza mapema asubuhi na kuendelea kutwa nzima huku waandamanaji wakiingia barabarani kupinga uchaguzi mkuu wa Jumatano nchini Tanzania, ambao wanadai haukuwa huru na wa haki. #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw