- 54,580 viewsDuration: 2:35Hali tete inazidi kushuhudiwa katika taifa jirani la tanzania huku maandamano ya uchaguzi yakiingia siku ya pili. Watu kadhaa wametiwa mbaroni kufuatia machafuko hayo huku wizara ya elimu ikitangaza kuwa vyuo vikuu visalie kufungwa kwa muda usiojulikana
