Maandamano ya kizazi kipya yashuhudiwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    48 views

    Maandamano ya leo ya kupinga mswada wa fedha yalijumuisha vijana ambao walijikusanya katika makundi kwa kutumia mitandao ya kijamii, katika kile kinachoonekana kuwa mabadiliko ya desturi ya maandamano humu nchini. Tofauti na maandamano ya awali yaliyoongozwa na wanasiasa na waandamanaji waliojihami kwa mawe na silaha butu, maandamano hayo yalijumuisha kizazi cha vijana waliojieleza kwa maafisa wa polisi kuhusu haki zao kwa lugha ya kiingereza. Hii hapa taswira ya maandamano ya kizazi kipya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive