Maandamano ya usalama Samburu baada wa mfanyabiashara aliuawa katika eneo la Wamba

  • | Citizen TV
    393 views

    Biashara zimetatizika mchana kutwa katika mji wa Wamba eneo la Samburu Mashariki baada ya wafanyibiashara kufunga maduka kulalamikia mauaji ya mwenzao. wakaazi wakilalamikia mauaji hayo ya usiku wa kuamkia leo, yaliyowaacha watu wawili na majeraha