- 678 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
MAANDAMANO YA VIJANA KENYA NA UGANDA KUDAI MABADILIKO
- - Karate Championships ››
- 27 Nov 2024 - The discussions focused on how integrating digital learning with the Competency-Based Curriculum (CBC) could transform Kenya's education system.
- 27 Nov 2024 - Ruth Kamande, known for her involvement in the murder of her boyfriend Farid Mohammed in 2015, has made headlines once again after graduating with a law degree from Kamiti Prison.
- 27 Nov 2024 - The court also issued orders prohibiting the multinational conglomerate from taking over management and assets at Jomo Kenyatta International Airport (JKIA).
- 27 Nov 2024 - Bayer East Africa has donated Personal Protective Equipment (PPEs) to the Cereal Growers Association (CGA) in a bid to bolster safety for farmers.
- 27 Nov 2024 - Interior Principal Secretary Raymond Omollo has undescored Kenya’s steadfast commitment to combating terrorism and violent extremism.
- 27 Nov 2024 - The national women’s soccer team Harambee Starlets departed for Morocco Wednesday ahead of their International friendly match against the hosts. Starlets is set to face Morocco on Friday in their first of the two matches with the second one scheduled…
- 27 Nov 2024 - Ousted Speaker Enock Okero convened a sitting at Manga Stadium as other MCAs had a session in the County Assembly.
- 27 Nov 2024 - Acting in his capacity as the Interior Cabinet Secretary, Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi gazetted the new units on November 22, comprising 31 sub-counties, 59 divisions, 170 locations, and 322 sub-locations.
- 27 Nov 2024 - The High Court has directed that a case challenging government’s requirement for passengers entering Kenya to declare the International Mobile Equipment Identity (IMEI) numbers be heard on December 18, 2024.
- 27 Nov 2024 - The man, a bachelor, claims the posts have scuttled his hopes of finding a wife within the church.