Maandamano Yatibuka Kanisani Jesus Winner; Ibada Ya Kanisa Ilikatizwa Kufuatia Hofu Ya Maandamano

  • | TV 47
    490 views

    Maandamano Yatibuka Kanisani Jesus Winner; Ibada Ya Kanisa Ilikatizwa Kufuatia Hofu Ya Maandamano

    Kufuatia shinikizo mitandaoni kutoka kwa vijana wa Gen Z kufanya maandamano dhidi ya kanisa la Jesus Winner Ministry Roysambu hapa jijini Nairobi, Askofu Edward Mwai mapema hii leo alilazimika kukatiza ibada yake ya jumapili ili kuwapa waumini wake nafasi mwafaka ya kuondoka bila matatizo.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __