Skip to main content
Skip to main content

Maandamano zaidi yashuhudiwa nchini Tanzania kutokana na uchaguzi mkuu

  • | Citizen TV
    33,113 views
    Duration: 3:59
    Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu wa Tanzania yanaonyesha kuwa mgombea wa kiti cha urais kwa tikiti ya Chama Cha Mapinduzi Samia Suluhu anaongoza kwa wingi wa kura zilizohesabiwa. Katibu mkuu kiongozi wa Tanzania Dkt Moses Mpogole alitoa taarifa kwa watumishi wote wa umma kufanyia kazi zao nyumbani isipokuwa wale ambao kazi zao zinawalazimu kuwepo afisini baada ya baadhi ya wapigakura kuandamana katika miji ya taifa hilo.