Mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa na rais Ruto yakiuka matarajio ya wengi

  • | K24 Video
    111 views

    Mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa na rais Ruto hiyo jana yalikiuka matarajio ya wengi kufuatia kuteuliwa kwa waziri wa afya wa zamani, mutahi kagwe, pamoja na magavana wa zamani Lee Kinyanjui na William Kabogo, pia kumefanywa mabadiliko ya mawaziri na sasa mwanahabari wetu anaangazia masuala muhimu ambayo yanawasubiri waliopewa majukumu ya uwaziri.