Mabadiliko ya tabia nchi : Wakenya wahimizwa kuchukua fursa za ufadhili zilizopo

  • | KBC Video
    7 views

    Mashirika ya kijamii na wadau katika sekta ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi wamepewa changamoto kutekeleza miradi ya kuhamasisha jamii za humu nchini kuhakikisha zinanufaika na fursa za ufadhili zilizoko na kutekeleza kikamilifu miradi ya kudhibiti athari za mabadiliko ya hali ya anga. Katibu katika idara ya ugatuzi Teresia Mbaika amesema ufadhili wa miradi ya mabadiliko ya tabianchi umekuwa changamoto kuu humu nchini, hali inayoibua haja ya hatua za dharura za kutumia rasilimali za hapa nchini kufadhili miradi ya kijamii ya kukabiliana na athari hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive