Mabingwa wa BAL Petro de Luanda 2024, Faust yapata pointi 24
Timu ya Petro de Luanda ilipata ushindi wa pointi 107- 94 dhidi ya Al Ahly Ly Jumamosi na kushinda taji la Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika 2024 huko BK Arena Kigali, Rwanda.
Huu ni ushindi wa kwanza wa bara la Afrika kwa Petro de Luanda tangu iliposhinda Michuano ya Kombe la Afrika FIBA 2015, katika mji mkuu Luanda.
Mabingwa hao wa Angola walikuwa nyuma kwa pointi 52 – 40 wakati wa mapumziko lakini wakaweza kubadilisha muelekeo katika kota ya tatu ya mchezo huo na kuzima ushindi wa michezo mitatu ya Al Ahly Ly katika msimu uliopita.
Nicholas Faust aliongoza washindi hao wapya kwa pointi 24; Markeith Cummings aliongeza pointi 20 na Cleusio Castro alionyesha juhudi kubwa ya kupata pointi 10 alipoingia mchezoni.
Kwa ushindi huo, Petro de Luanda ilijipatia haki ya kuwakilisha Afrika katika Michuano ya Kombe la Mabara mbalimbali Septemba ijayo huko Singapore. (BAL)
#basketball #bal #nba #playoffs #explorepage #sports #africa #voa
22 Apr 2025
- Kenyan men have been accused of adopting outdated toxic traits.
22 Apr 2025
- Kenya's exports to the US are estimated at around Ksh109.7 billion (784 million USD).
22 Apr 2025
- The DCI revealed the case was escalated to the special unit.
23 Apr 2025
- Several world leaders have announced they will travel to Rome for Pope Francis's funeral on Saturday, which is likely to also draw a huge crowd in the square in front of St Peter's Basilica at the Vatican.
23 Apr 2025
- Prince William will represent Britain's royal family at the funeral of Pope Francis at the Vatican on Saturday, Kensington Palace said Tuesday.
23 Apr 2025
- Pope Francis' funeral will be held on Saturday in St. Peter's Square, Roman Catholic cardinals decided on Tuesday, setting the stage for a solemn ceremony that will draw leaders from around the world.
23 Apr 2025
- MPs launch probe into kidney trade claims
23 Apr 2025
- The elusive dream: Is the world ready for a Pope from 'fast rising' Africa?
23 Apr 2025
- Minty business: Local farmer mints cash from fragrant crop
23 Apr 2025
- Orengo speaks language of integrity in a betrayed nation
23 Apr 2025
- Shilling's rally set for dividends season dollar demand test
23 Apr 2025
- Nepal's digital finance and lessons from our mobile money revolution
23 Apr 2025
- Papal dais: A lasting tribute to Pope Francis