Machafuko ya Tana River

  • | Citizen TV
    78 views

    Gavana wa Tana River, Dhadho Godhana ameitaka serikali kuu kuchukua hatua za dharura na kuzima machafuko ya mara kwa mara katika kaunti hiyo. Kulingana naye, serikali kuu inapaswa kuwasikiliza viongozi wa eneo hilo ili kutafuta suluhu ya kudumu.