Machafuko ya Uingereza: Kila mtu anauliza "Tutaenda wapi sasa?"

  • | BBC Swahili
    2,664 views
    Mgahawa wa Mohammed Idris uliteketezwa baada ya maandamano ya kupinga wahamiaji kutokea huko Uingereza hadi Ireland Kaskazini. Ni mara ya pili ndani ya mwaka mmoja, biashara zake kusini mwa Belfast kulengwa. Aliiambia BBC kwamba alisikia washambuliaji wakimuita kwa jina lake walipoanza kuvunja madirisha ya duka lake. #bbcswahili #uingereza #wahamiaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw