Madai ya Jay-Z yanahusu nini?

  • | BBC Swahili
    674 views
    Rapa wa Marekani Jay-Z amejibu kuhusu kesi inayodai kuwa yeye, pamoja na Sean "Diddy" Combs, walimnywesha dawa za kulevya na kumbaka msichana wa miaka 13 kwenye sherehe mwaka 2000. - Mtu ambaye alimshtaki, jina lake halikujulikana anadai alivamiwa kwenye sherehe ya nyumbani baada ya Tuzo za Muziki za Video za MTV (VMAs) huko New York #bbcswahili #burudani #muziki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw