Madaktari ghushi wa mifugo wasakwa Maralal

  • | KBC Video
    30 views

    Bodi ya wataalamu wa magonjwa ya mifugo imeanzisha msako wa madaktari bandia wa mifugo mjini Maralal katika kaunti ya Samburu. Bodi hiyo imewaonya wenye maduka wanaouza bidhaa ghushi kwamba watachukuliwa hatua za kisheria. Hali kadhalika bodi hiyo imebaini kwamba baadhi ya wataalamu wanatumia leseni bandia kuendeleza shughuli zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive