Madaktari wa hospitali ya Nairobi kuendelea na mgomo wao

  • | KBC Video
    108 views

    Madaktari wa hospitali ya Nairobi wamesitisha huduma zao, huku matabibu wakishughulikia visa vya dharura pekee. Wakizungumza na wanahabari leo, madaktari hao waliapa kuendelea kushinikiza mabadiliko ya usimamizi wa hospitali hiyo. Mengi zaidi na mwanahabari wetu Joseph Wakhungu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive