Madaktari walalamikia kucheleweshwa kwa malipo

  • | Citizen TV
    160 views

    Madaktari wa kaunti ya Nairobi wanafanya maandamano kulalamikia kucheleweshwa kwa malipo huku wakidai kukosa kupandishwa vyeo