Madaktari wanagenzi kuajiriwa kufikia Julai Mosi

  • | KBC Video
    126 views

    Waziri wa afya Aden Duale amesema serikali imejitolea kuhakikisha uajiri wa madaktari wanagenzi kote nchini kufikia Julai mosi mwaka huu, katika hatua inayolenga kutimiza mojawapo ya matakwa yaliyoibuliwa na madaktari.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive