Madaktari wapinga SHA wakisema Wakenya wanalazimika kulipia huduma kutoka mifukoni mwao

  • | NTV Video
    544 views

    Muungano wa madaktari kutoka eneo la Pwani umepinga mfumo mpya wa bima ya afya ya jamii( SHIF) ukisema kuwa mfumo huo una mapungufu mengi, suala ambalo limewaacha Wakenya kutoka pande mbalimbali za humu nchini wakilazimika kulipia huduma mbalimbali kutoka mifukoni mwao licha ya kusajiliwa kwa mfumo huo mpya.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya