Madeni ya Taifa

  • | Citizen TV
    250 views

    Mbunge wa Saboti katika Kaunti ya Trans Nzoia, Caleb Amisi amemshutumu Rais William Ruto kwa kuisukuma nchi katika lindi la madeni, akidai kuwa serikali yake inamtwika mlipakodi mzigo mkubwa kwa kukopa bila mipaka.