Madereva Isiolo wahamasishwa kuhusu usalama barabarani

  • | KBC Video
    20 views

    Zaidi ya madereva-200 wa matatu katika kaunti ya Isiolo walishiriki kwenye warsha ya uhamasisho kuhusu usalama barabarani iliyoandaliwa na idara ya trafiki kwa ushirikiano na chama cha matatu zinazohudumu kwenye barabara ya Meru-Isiolo-MEISO. Hatua hiyo ilinuiwa kuwaelimisha madereva hao kuhusu kanuni za usalama barabarani na jinsi ya kuhudumia abiria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive