Madereva wa KCB wajitayarisha kwa WRC Safari Rally mjini Naivasha

  • | NTV Video
    146 views

    Madereva wa timu ya KCB Nikhil Sachania na Karan Patel wanaendelea kujiimarisha kabla ya kushiriki mashindano ya mbio za magari ya WRC Safari Rally ambayo yatafanyika kuanzia tarehe 20 hadi 23 mwezi ujao mjini Naivasha kaunti ya Nakuru.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya