Madereva watukutu wa 'Moneyfest' na 'Ambush' washtakiwa

  • | Citizen TV
    1,568 views

    Katika msako wa hivi karibuni dhidi ya uvunjaji wa sheria za trafiki, John Mwangi, mhudumu wa gari la Ambush, na Dominic Amaya, dereva wa matatu ya Manifest wameshtakiwa kwa kuendesha magari yasiyofaa katika barabara ya Ongata Rongai kwenda Langata na nairobi.