Maduka zaidi ya 10 ya biashara yateketea Limuru

  • | Citizen TV
    120 views

    nyumba Zaidi ya kumi za biashara zimeteketea katika eneo la kuegesha magari la limuru kaunti ya kiambu.