Maelfu Wanufaika Kwa Hisani Ya Krismasi Matungu Na Mumias

  • | TV 47
    40 views

    Viongozi wa kisiasa katika Kaunti Ya Kakamega wamelaani vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake vinavyoripotiwa mara kwa mara maeneo hayo.

    Wakizungumza katika hafla tofauti za kutoa chakula cha krismasi kwa akina mama wajane na wasiojiweza katika jamii, Mbunge Wa Matungu Peter Nabulindo na wakili Peter Mung’oma kutoka eneo bunge la Mumias Magharibi wamesikitikia idadi kubwa ya visa hivyo huku asilimia kubwa ikidaiwa kumaliziwa kinyumbani.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __