Maelfu ya vijana nchini walazimika kujitosa kwenye usanii baada ya kukosa ajira

  • | Citizen TV
    815 views

    Huku ahadi za kila serikali inayoingia mamlakani kutafuta suluhu ya tatizo la ajira mara nyingi zikikosa kutimia, vijana wengi huumia zaidi baada ya kuhitimu kwa elimu ya juu. Kwa vijana kama hawa, ngoja ngoja ya ajira imeendelea kuwaumiza na sasa wametafuta njia mbadala kujipatia mapato. Chrispine Otieno anaangazia namna vijana walivyogeukia mitandao kujichumia riziki