Maelfu ya wasafiri wakesha kwa barabara kuu ya Nairobi-Nakuru kufuatia msongamano mkubwa wa magari

  • | NTV Video
    845 views

    Maelfu ya wasafiri waliokuwa wakitumia barabara kuu ya Nairobi - Nakuru na ile ya Nairobi - Mai Mahiu walilazimika kukesha usiku wa kuamkia leo kufuatia msongamano mkubwa wa magari unaoendelea hadi sasa katika barabara hizo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya