Mafunzo ya wajenzi wa nyumba

  • | Citizen TV
    96 views

    Mafundi wa ujenzi wa nyumba katika kaunti ya Nyamira wamepewa mafunzo na vyeti vya kiufundi kutoka mamlaka ya ujenzi nchini, kama njia moja ya kuimarisha usalama na ubora wa majengo yanayojengwa nchini.