Magari ya watalii ya umeme

  • | BBC Swahili
    385 views
    Teknolojia ya magari yasiyotumia mafuta huenda sasa yakapunguza uchafuzi wa mazingira pamoja na kupunguza kelele kwa wanyamapori pale watalii wanapotembelea hifadhi mbalimbali. Magari kadhaa kwasasa yanayohudumia watalii nchini Tanzania yanatumia umeme na hivyo kupunguza gharama za uendeshaji lakini pia kuwapa urahisi watalii kuona na kuvisikia vivutio mbalimbali hifadhini kwa urahisi. Mwandishi wa BBC, @lasteck2023 ameandaa taarifa hii kutoka Arusha, Kaskazini mwa Tanzania. 🎥 @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #tanzania #teknolopjia