Magatuzi I Shida ya maji Maragua

  • | KBC Video
    72 views

    Baadhi ya wakazi kutoka eneo bunge la Maragua,kaunti ya Murang'a wamelazimika kuchota maji chafu kutoka kwa mifereji yao kwa muda wa miezi miwili iliyopita kutokana na hatua ya kuhitilafiana na miundombinu ya usambazaji maji na kundi la watu fulani. Kundi hilo pia linashtumiwa kwa kuharibu mabomba ya maji yanayosambaza maji katika hospitali ya Maragua Level-4 pamoja na taasisi ya kiufundi na mafunzo anuwai ya Murang’a .Taarifa kamili ni kwenye mseto wa magatuzi. .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive