Magatuzi I Viongozi wa Mlima Kenya waonya dhidi ya jaribio la kumbandua naibu rais Rigathi

  • | KBC Video
    229 views

    Baadhi ya viongozi kutoka eneo la mlima Kenya wametoa wito wa umoja miongoni mwa viongozi wa kisiasa kutoka eneo hilo,wakitahadharisha dhidi ya jaribio la kuwasilisha bungeni hoja ya kumbandua naibu rais Rigathi Gachagua.Kwa habari hizo na nyingine ni katika mseto wa kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive