Magatuzini I Serikali yaombwa kuondoa ada za mitihani ya kitaifa kwa watahiniwa wa kibinafsi

  • | KBC Video
    12 views

    Wito umetolewa kwa serikali kuondoa ada za mitihani ya kitaifa kwa watahiniwa wa kibinafsi ili kuwahimiza watu wazima zaidi kujisajili ili kujua kusoma na kuandika. Shirika lisilo la kiserikali la Pendeza Africa limesema kuwa ada kubwa ya usajili ni kikwazo kikubwa kwa elimu ya watu wazima hapa nchini. Taarifa kamili ni kwenye mseto wa magatuzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive