Magatuzini I Shirika la msalaba mwekundu nchini laadhimisha miongo sita ya utoaji msaada

  • | KBC Video
    43 views

    Shirika la msalaba mwekundu nchini lilianza sherehe zake za 60 Garissa kuadhimisha miongo sita ya utoaji msaada wa huduma za kibinadamu nchini. Kwingineko, serikali imeshauriwa kutekeleza sheria ili kuhakikisha huduma za matibabu bila malipo kwa wagonjwa wenye matatizo ya kiakili katika hospitali za umma. Taarifa kamili ni katika kaunti.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive