Magatuzini: Mizozo inayoendelea duniani yaathiri sekta ya maua nchini

  • | KBC Video
    24 views

    Mizozo inayoendelea duniani ikiwa ni pamoja na vita kati ya Israel na Gaza, na Urusi na Ukraine, imeathiri sekta ya maua hapa nchini na kuchangia ongezeko la gharama ya uzalishaji na mazao yanayokusudiwa kuuzwa kwa masoko ya Ulaya.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive