Magatuzini: Vitengo vya usalama vyachunguza hali iliyosababisha mvuvi kufa maji Homa Bay

  • | KBC Video
    96 views

    Vitengo vya usalama huko Homa Bay vinachunguza hali iliyosababisha mvuvi kufa maji alipokuwa akivua samaki katika Ufukwe wa Angalo; Kaunti ya Homa Bay.Marehemu, John Okombo, mwenye umri wa miaka 43 aliaga dunia alipokuwa akivua samaki na kakaye Jumamosi asubuhi. Taarifa kwa kina ni katika mkusanyiko habari kutoka kaunti

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive