Magavana waeleza wasiwasi wa kufadhili miradi ya afya

  • | Citizen TV
    178 views

    Wadau katika sekta ya afya wanahofia kuwa mpango wa serikali wa utekelezaji wa afya kwa wote utaathirika kutokana na upungufu wa pesa kwenye bajeti za serikali za kaunti.