Magavana wataka Ksh. 536B zitengewe kaunti mwaka huu

  • | Citizen TV
    92 views

    Baraza la magavana linataka kaunti zitengewe shilingi bilioni 536 katika bajeti ya mwaka huu wa kifedha. hayo ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa kamati ya fedha ya baraza la mawaziri ambaye pia ni Gavana wa Kakamega Fernandes Barasa.