Magavana Wataka Majukumu Mapya Yaje Na Mgao Wa Hela Kutoka Serikali Kuu

  • | TV 47
    26 views

    Magavana Wataka Majukumu Mapya Yaje Na Mgao Wa Hela Kutoka Serikali Kuu

    Siku chache baada ya Rais William Ruto kuagiza serikali za kaunti zikabidhiwe majukumu ambayo yameendelea kutekelezwa na wizara mbalimbali za kitaifa, baadhi ya magavana wanasema kuwa ni sharti majukumu hayo yaandamane na bajeti ya kutosha ili kuhakikisha kuwa ugatuzi unafanikiwa.

    #TV47Wikedi

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __