Magavana wazidi kusisitiza watatoa basari licha ya pingamizi

  • | Citizen TV
    251 views

    Serikali za kaunti zinaonekana kuendelea kutoa basari kwa wanafunzi wasiojiweza, licha ya agizo la msimamizi wa bajeti kuwa jukumu hilo na la serikali kuu. Katika kaunti ya Laikipia, wazazi kutoka wodi 15 wamenufaika na basari kutoka kwa serikali ya kaunti hiyo kwa gharama ya shilingi milioni 75.