Magunia 200 ya mbolea ghushi yaharibiwa jijini Eldoret

  • | Citizen TV
    149 views

    Shirika la kupambanana na bidhaa gushi nchini limeharibu mbolea gushi zaidi ya magunia 200 jijini Eldoret.