Magunia 27,518 ya mbolea isiyofaa kuharibiwa

  • | KBC Video
    131 views

    Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe, leo alitoa agizo la kuharibiwa kwa mifuko 27,518 ya mbolea katika maghala ya bodi ya kuhifadhi nafaka na mazao ambayo muda wake wa matumizi umepita. Halmashauri ya kutathmini ubora wa bidhaa itasimamia shughuli ya kuharibiwa kwa mbolea hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive