Mahafali zaidi ya 600 wafuzu kwa elimu ya ushauri

  • | Citizen TV
    167 views

    Ongezeko la dhulma za kijinsia katika Kaunti ya Samburu,limewafanya wanaharakati kuendelea kujikuna vichwa wakitafuta suluhu ikiwemo mafunzo kwa jamii. Wadau hao zaidi ya mia sita waliopokea mafunzo Kwa kipindi cha mwaka mmoja wamefuzu na vyeti mbali mbali.