Mahakama imeamuru bunge kufanya awamu ya pili ya kukusanya maoni ya umma

  • | K24 Video
    264 views

    Mahakama imeamuru bunge kufanya awamu ya pili ya kukusanya maoni ya umma ili kuruhusu wakenya katika kila ngazi na maeneo bunge yote kuwasilisha maoni yao kuhusu hoja ya kumng'atua naibu rais Rigathi Gachagua . Haya yakijiri bunge limeongeza muda wa ukusanyaji maoni hadi hapo kesho ili kutoa fursa kwa wale ambao hawajatoa maoni, watoe maoni yao.