Mahakama imekataa ombi la ODPP kumleta mtuhumiwa wa Sh1.5bn kutoka benki ya Equity mahakamani

  • | NTV Video
    2,418 views

    Familia ya David Machiri Kimani, mfanyakazi wa benki ya Equity anayetuhumiwa kwa ufujaji wa zaidi ya Sh1.5bn za benki bado itaendelea kuhangaika baada ya mahakama kukataa kutoa amri kwa polisi kumleta Machiri mahakamani awe hai au mfu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya